Ijue Maslak Salaam
Maslak Salam ni kituo cha Kiislamu kilichoanzishwa kwa lengo la kuwa jukwaa la elimu, tiba na usaidizi wa kiroho kwa jamii. Kinaendeshwa na watu wenye elimu ya dini, uzoefu wa maisha, na moyo wa kuhudumia kwa ikhlasi. Kituo hiki hakifungamani na madhehebu maalum, bali kinasimama juu ya msingi wa kufuata Qur’an Tukufu na Sunnah sahihi za Mtume Muhammad ﷺ kwa uelewa wa Maswahaba na wema waliotangulia. Hivyo tunalenga kuwafikia watu tofauti wakiwemo:-
- Waislamu wanaotafuta elimu ya msingi au ya ziada kuhusu dini yao.
- Watu wanaokabiliwa na matatizo ya kiroho au changamoto za maisha.
- Vijana na familia wanaohitaji mwongozo wa kidini katika masuala ya ndoa, malezi, au maadili.
- Jamii kwa ujumla inayoitaji tiba ya kisheria, nasaha au uelimishaji wa kijamii.
Islamic Scholars
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.
Pillars of Islam
-
Shahadah
(Faith) -
Salah
(Prayer) -
Sawm
(Fasting) -
Zakat
(Almsgiving) -
Hajj
(Pilgrimage)
Donator Say
Nasira Sheikh
"Easy to access of Islamic services in Center,Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod temporate."
Hashim Masud
"Easy to access of Islamic services in Center,Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod temporate."
Fatima Ali
"Easy to access of Islamic services in Center,Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod temporate."